Kutoka Wikipedia
Lugha |
de |
Mtumiaji huyu anatumia Kijerumani kama lugha yake ya kwanza. |
la-1 |
Hic usor simplici latinitate contribuere potest. |
nds-1 |
Disse Bruker snackt ’n beten Plattdüütsch. |
|
Nina nywele lakini nimependa jina hili la Kipala. Nikiwa Mjerumani nimekaa miaka mingi Tanzania na Kenya. Hata nikihofia ya kwamba nimeanza kutumia Kiswahili cha Nairobi hapo na pale bado naona nitoe shukrani zangu kwa Afrika ya Mashariki kwa njia ya kusaidia kujenga Wikipedia ya Kiswahili.
Basi jamani, kuna kazi, twendeni! --Kipala 21:11, 14 Januari 2006 (UTC)
Naomba andika michango au maswali yote kwenye ukurasa wangu wa majadiliano.
Ongeza chako chini ya michango mingine.
Mazungumzo ya awali kwenye ukurasa huu umehamishwa kwenda: /Archive 1